Kifaru mzee aliyefariki kufanyiwa sherehe yakumuenzi



Wiki iliyopita Kifaru Sudan ambaye ndiye alikuwa kifaru mzee zaidi wa kiume aliyebaki duniani ambaye alikuwa anapatikana katika Hifadhi ya Ol Pejeta nchini Kenya aliripotiwa kufa.

Kutokana na kifaru huyo kuwa wa pekee duniani, inaandaliwa sherehe maalumu kwa ajili ya kumbukumbu yake na kusherekea kipindi cha maisha yake, ambayo itafanyika March 31, 2018.

Kwenye barua maalumu ya mwaliko kwa vyombo vya habari kutoka kwa Uongozi wa Hifadhi hiyo na Wizara ya Utalii imeeleza kuwa sherehe hiyo itahudhuriwa pia na Katibu wa Wizara wa Utalii Najib Balala.

Sherehe hiyo itafanyika eneo la ‘Uwanja wa Kumbukumbu ya Kifar

Comments

Popular posts from this blog

mengine yaibuka sakata la wambura